Luke 23:43

43 aIsa akamjibu, “Amin, nakuambia, leo hii utakuwa pamoja nami Paradiso.”
Paradiso maana yake bustani nzuri, hapa ina maana mahali zinapokwenda roho za wacha Mungu, yaani watakatifu.

Kifo Cha Isa

(Mathayo 27:45-56; Marko 15:33-41; Yohana 19:28-30)

Copyright information for SwhKC